Pamoja na Chelsea kuwa ugenini dhidi ya Atletico Madrid, wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1, Atletico Madrid ndio walikuwa wa kwanza kupata goli dhidi ya Chelsea dakika ya 40 kwa mkwaju wa penati uliyopigwa na Antoinne Griezmann.
Dakika ya 60 Alvaro Morata akafunga goli la kuisawazishia Chelsea kabla ya dakika ya 90 Michy Batshuayi kufunga goli la ushindi kwa Chelsea na kufanya Chelsea kuondoka na point zote tatu kutoka katika uwanja wa Wanda Metropolitano.

0 comments: