Wachezaji wa timu ya UVCCM inayofahamka kwa jina la NMC BOKORANI iliyo chini ya ccm tawi la bokorani chini ya mwenyekiti wao Mh JOSEPH YONA leo wanaingia kucheza mechi yao ya pili baada ya kutangaza ubabe kati mechi yao ya kwanza kwa kuwacharaza mabao mawili kwa moja timu ya WAENDAO
Vijana hao wanaenda kutafuta tiketi ya lobo fainali katika ligi ya slim cup mtoni temeke
Picha ya pamoja kabla ya mchezo huo
Vijana wakipasha misuli ili kuwa kabili mtoni sokoni
Muda mchache kabla ya mechi kuanza
0 comments: