Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tzeba akiongea na wadau
wa Mbolea wa Tanzania alipofungua mkutano wao katika ukumbi wa mikutano
wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam. (Imeandaliwa na Robert
Okanda Blogs)
Mkuu wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA) kwa Tanzania,
Rwanda na Uganda, Profesa Nuhu Hatibu (kulia) akimkabidhi Waziri wa
Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tzeba zawadi ya kitabu wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa wadau mbolea walipkutana jijini Dar es Salaam leo
Septemba 28 2017. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wauza Mbolea
Tanzania, Salum Mkumba na Mkurugenzi Mkazi wa Taasis ya Biashara za
Mbolea Afrika (AFAP), Dkt. Mbette Mshindo.
Mkurugenzi Mkazi wa Taasis ya Biashara za Mbolea Afrika (AFAP), Dkt.
Mbette Mshindo akiongea na wadau wa mbolea wakati wa ufunguzi wa Mkutano
wa wadau mbolea walipokutana jijini Dar es Salaam jana Septemba 28
2017. Kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wauza Mbolea Tanzania,
Salum Mkumba, Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tzeba na
Mkuu wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA) kwa Tanzania,
Rwanda na Uganda, Profesa Nuhu Hatibu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Eng. Mathew Mtigumwe akitambulishwa kwa wadau.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Mkuu wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA) kwa Tanzania,
Rwanda na Uganda, Profesa Nuhu Hatibu akiongea na wadau wakati wa
ufunguzi wa Mkutano walipokutana jijini Dar es Salaam Septemba 28 2017.
Kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wauza Mbolea Tanzania, Salum
Mkumba na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Biashara za Mbolea Afrika
(AFAP), Dkt. Mbette Mshindo na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt.
Charles Tizeba.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Mkuu wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA) kwa Tanzania,
Rwanda na Uganda, Profesa Nuhu Hatibu (kushoto) akiteta Wizara ya
Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Eng. Mathew Mtigumwe wakati wa ufunguzi wa
Mkutano walipokutana jijini Dar es Salaam jana Septemba 28 2017.
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tzeba (katikati) akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo katika ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.

0 comments: